send link to app

Tunzaa Plus app for iPhone and iPad


4.0 ( 1920 ratings )
Utilities Shopping
Developer: Ngwinula Kingamkono
Free
Current version: 1.3, last update: 1 year ago
First release : 08 Apr 2022
App size: 22.05 Mb

Jiunge na Tunzaa+ uweze kufikia mtandao wa wanunuzi ambao hutumia pesa kila siku kununua bidhaa na huduma moja kwa moja kutoka kwa wafanyabiashara kama wewe.

Ongeza mauzo kwa kuwapa wateja wako uwezo wa kununua kile wanachokihitaji kwa kulipia kwa awamu hadi watimize malipo yao.

ONGEZA THAMANI

Rahisi & salama. Malipo yanatumwa kwako mfanyabiashara na hakuna malipo ya ziada ya kila mwezi.

KUZA BIASHARA

Ongeza mauzo yako kwa kufikia mtandao wa wanunuzi ambao wanafurahia kufanya manunuzi kutimiza malengo na mipango yao.

ORODHESHA BIASHARA YAKO BURE

Orodhesha bidhaa na huduma zako zote bure - utalipa ada tu ikiwa utauza kupitia Tunzaa.

UDHIBITI

Kupitia Tunzaa unaweza kufatilia oda za wateja wako, bei na kuweka bidhaa mpya kila upendavyo.

USALAMA WA MALIPO

Tunzaa inakuhakikishia usalama wa malipo kutoka kwa wateja wako.

USAIDIZI NA USHAURI

Tumejitolea kusaidia washirika wote wa biashara kufanikiwa kwa kuhakikisha wanapata taarifa sahihi na msaada wa jinsi ya kufaidika na Tunzaa.